sw_tn/lev/22/04.md

40 lines
1013 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ungonjwa wa ngozi wa kuambukiza
ugonjwa ujuu ya ngozi unaosambaa kwa urahisi kutoka mtu mmoja kwenda kwa mwingine
# kutoka mwilini mwake
Tazama maellezo ya sura 15:1
# mpaka atakapotakasika
Tama maelezo ya sura ya 13:23
# yeyote agusaye kitu chochote kilichonajisi
Tazama maelzo ya sura ya 13:20"
# wa njia ya kugusa maiti,
"kwa kugusa mwili wa mfu"
# dhabihu iliyofanywa kwa Yahweh
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wautendaji. : "dhabihu ambayo mtu mwingine ameitoa kwa Yahweh"
# au yeyote agusaye mnyama atambaaye atakayemtia yeye unajisi, au mtu yeyote atakayemfanya nyeye kuwa ajisi
Hii yaeza kfanywa wazi. : "au yeyote aliyenajisi kutokana na kugusa manyama ataambaye au kutokana na kugusa mtu aliyenajisi"
# yeyote agusaye kitu chochote kisichosafi atakuwa najisi
Hii yaweza kufanywa wazi. : "au yeyote aliyenajisi kutokana na kugusa mnyama aliye mlemavu au kutokana na kugusa mtu aliye najisi"
# hata jioni
"mpaka machweo"
# kuhani ... atakuwa najisi
Tazama maezo ya sura ya 13:23