# ungonjwa wa ngozi wa kuambukiza ugonjwa ujuu ya ngozi unaosambaa kwa urahisi kutoka mtu mmoja kwenda kwa mwingine # kutoka mwilini mwake Tazama maellezo ya sura 15:1 # mpaka atakapotakasika Tama maelezo ya sura ya 13:23 # yeyote agusaye kitu chochote kilichonajisi Tazama maelzo ya sura ya 13:20" # wa njia ya kugusa maiti, "kwa kugusa mwili wa mfu" # dhabihu iliyofanywa kwa Yahweh Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wautendaji. : "dhabihu ambayo mtu mwingine ameitoa kwa Yahweh" # au yeyote agusaye mnyama atambaaye atakayemtia yeye unajisi, au mtu yeyote atakayemfanya nyeye kuwa ajisi Hii yaeza kfanywa wazi. : "au yeyote aliyenajisi kutokana na kugusa manyama ataambaye au kutokana na kugusa mtu aliyenajisi" # yeyote agusaye kitu chochote kisichosafi atakuwa najisi Hii yaweza kufanywa wazi. : "au yeyote aliyenajisi kutokana na kugusa mnyama aliye mlemavu au kutokana na kugusa mtu aliye najisi" # hata jioni "mpaka machweo" # kuhani ... atakuwa najisi Tazama maezo ya sura ya 13:23