sw_tn/lev/18/24.md

501 B

mataifa yamechafuliwa

Hii humaanisha vikundi vya watu vinavyoishi huko Kanaani. Hii inafaa kufasiriwa ili kwamba ule msemo "mataifa" uwekwe wazi kuwa ni "watu." : "watu wa mataifa walijichafua wenyewe"

Nayo nchi imenajisiwa

"Watu waliichafua nchi"

nayo nchi ikawatapika wakazi wake

Yahweh akiwawaondoa watu kwa nguvu kutoka katika kunazungumziwa kana kwamba nchi ilikuwa mtu ambaye aliwatapika watu. : "Ikiwa aliwaondowa watu kwa nguvu kutoka katika nchi, kama vile mtu atapikavyo chakula"