# mataifa yamechafuliwa Hii humaanisha vikundi vya watu vinavyoishi huko Kanaani. Hii inafaa kufasiriwa ili kwamba ule msemo "mataifa" uwekwe wazi kuwa ni "watu." : "watu wa mataifa walijichafua wenyewe" # Nayo nchi imenajisiwa "Watu waliichafua nchi" # nayo nchi ikawatapika wakazi wake Yahweh akiwawaondoa watu kwa nguvu kutoka katika kunazungumziwa kana kwamba nchi ilikuwa mtu ambaye aliwatapika watu. : "Ikiwa aliwaondowa watu kwa nguvu kutoka katika nchi, kama vile mtu atapikavyo chakula"