sw_tn/lev/18/24.md

12 lines
501 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mataifa yamechafuliwa
Hii humaanisha vikundi vya watu vinavyoishi huko Kanaani. Hii inafaa kufasiriwa ili kwamba ule msemo "mataifa" uwekwe wazi kuwa ni "watu." : "watu wa mataifa walijichafua wenyewe"
# Nayo nchi imenajisiwa
"Watu waliichafua nchi"
# nayo nchi ikawatapika wakazi wake
Yahweh akiwawaondoa watu kwa nguvu kutoka katika kunazungumziwa kana kwamba nchi ilikuwa mtu ambaye aliwatapika watu. : "Ikiwa aliwaondowa watu kwa nguvu kutoka katika nchi, kama vile mtu atapikavyo chakula"