sw_tn/lev/13/50.md

28 lines
741 B
Markdown

# siku saba
Tazama maelezo ya sura 13:5
# siku ya saba
Tazama maelezo ya sura 13:6
# kitu chochote ambacho ngozi imetumika
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kitu chochote ambacho mtu anatumia ngozi"
# kifaa chochote kilichoonekana na ukungu ndani yake
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Chochote ambacho kinapatika na ukungu wenye kudhuru juu yake"
# kifaa hicho ni najisi
Maelezo yake yaweza kufanana na ya sura 13:20
# huo ukungu unaweza kusababisha ugonjwa
Huo ukungu wenyekudhuru waweza kusababisha ugonjwa ndani ya mtu anayekikaribia kifaa.
# Chombo hicho lazima kiteketezwe kabisa kwa moto
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa akiteketeze hicho chombo kabisakabisa