# siku saba Tazama maelezo ya sura 13:5 # siku ya saba Tazama maelezo ya sura 13:6 # kitu chochote ambacho ngozi imetumika Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kitu chochote ambacho mtu anatumia ngozi" # kifaa chochote kilichoonekana na ukungu ndani yake Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Chochote ambacho kinapatika na ukungu wenye kudhuru juu yake" # kifaa hicho ni najisi Maelezo yake yaweza kufanana na ya sura 13:20 # huo ukungu unaweza kusababisha ugonjwa Huo ukungu wenyekudhuru waweza kusababisha ugonjwa ndani ya mtu anayekikaribia kifaa. # Chombo hicho lazima kiteketezwe kabisa kwa moto Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa akiteketeze hicho chombo kabisakabisa