sw_tn/lev/13/50.md

741 B

siku saba

Tazama maelezo ya sura 13:5

siku ya saba

Tazama maelezo ya sura 13:6

kitu chochote ambacho ngozi imetumika

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "kitu chochote ambacho mtu anatumia ngozi"

kifaa chochote kilichoonekana na ukungu ndani yake

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Chochote ambacho kinapatika na ukungu wenye kudhuru juu yake"

kifaa hicho ni najisi

Maelezo yake yaweza kufanana na ya sura 13:20

huo ukungu unaweza kusababisha ugonjwa

Huo ukungu wenyekudhuru waweza kusababisha ugonjwa ndani ya mtu anayekikaribia kifaa.

Chombo hicho lazima kiteketezwe kabisa kwa moto

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa akiteketeze hicho chombo kabisakabisa