sw_tn/lev/13/34.md

12 lines
339 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi.
# ule ugonjwa
"Ugonjwa" hapa humaanisha ule ugonjwa juu ya kichwa au kidevu cha mtu.
# kuhani atamtangaza kuwa safi. Mtu huyo yapasa kufua nguo zake, na kisha atakuwa safi
Tazama maelezo ya sura 13:23