# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi. # ule ugonjwa "Ugonjwa" hapa humaanisha ule ugonjwa juu ya kichwa au kidevu cha mtu. # kuhani atamtangaza kuwa safi. Mtu huyo yapasa kufua nguo zake, na kisha atakuwa safi Tazama maelezo ya sura 13:23