sw_tn/lev/13/34.md

339 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi.

ule ugonjwa

"Ugonjwa" hapa humaanisha ule ugonjwa juu ya kichwa au kidevu cha mtu.

kuhani atamtangaza kuwa safi. Mtu huyo yapasa kufua nguo zake, na kisha atakuwa safi

Tazama maelezo ya sura 13:23