sw_tn/lev/11/26.md

629 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula

Kila myama...ni najisi kwenu

Hawa wanyama ambao Mungu amewataja kutofaa kwa kuliwa na watu wamezungumziwa kana kwamba walikuwa wachafu kimaumbile.

kwato zilizogawanyika

Tazama amelezo ya sura ya 11:3.

Cheuwa

Tazama maelezo ya sura ya 11:3

Kiala awagusaye atakuwa najisi

Mtu ambaye hakubaliki kwa makusudi ya Mungu kwa sababu ya amegusa mmojawapo wa wanyama hawa anazungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile.

vitanga

Miuguu ya mnyama yenye makucha

hata jioni

"hata macheo"