sw_tn/lev/11/26.md

28 lines
629 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula
# Kila myama...ni najisi kwenu
Hawa wanyama ambao Mungu amewataja kutofaa kwa kuliwa na watu wamezungumziwa kana kwamba walikuwa wachafu kimaumbile.
# kwato zilizogawanyika
Tazama amelezo ya sura ya 11:3.
# Cheuwa
Tazama maelezo ya sura ya 11:3
# Kiala awagusaye atakuwa najisi
Mtu ambaye hakubaliki kwa makusudi ya Mungu kwa sababu ya amegusa mmojawapo wa wanyama hawa anazungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile.
# vitanga
Miuguu ya mnyama yenye makucha
# hata jioni
"hata macheo"