# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula # Kila myama...ni najisi kwenu Hawa wanyama ambao Mungu amewataja kutofaa kwa kuliwa na watu wamezungumziwa kana kwamba walikuwa wachafu kimaumbile. # kwato zilizogawanyika Tazama amelezo ya sura ya 11:3. # Cheuwa Tazama maelezo ya sura ya 11:3 # Kiala awagusaye atakuwa najisi Mtu ambaye hakubaliki kwa makusudi ya Mungu kwa sababu ya amegusa mmojawapo wa wanyama hawa anazungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile. # vitanga Miuguu ya mnyama yenye makucha # hata jioni "hata macheo"