sw_tn/lev/11/09.md

20 lines
617 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula
# Mapezi
pezi , ni sehemu iliyobapa ambayo samaki huitumia kuogelea majini.
# Magamba
Ni mabamba madogo madogo yanayoufunika mwili wa samaki.
# viumbe wote hai wasio na mapezi na magamba waliomo baharini au mitoni
"wanyama wote waishio baharini au mitoni wasio na mapezi na magamba"
# watakuwa chukizo kwenu
Yahweh anawaamru watu kuwakataa na kudharau kuwal a viumbe hawa. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapsa mwawachukie hao" au "lazima mukatae kabisakabisa"