sw_tn/lev/11/09.md

617 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula

Mapezi

pezi , ni sehemu iliyobapa ambayo samaki huitumia kuogelea majini.

Magamba

Ni mabamba madogo madogo yanayoufunika mwili wa samaki.

viumbe wote hai wasio na mapezi na magamba waliomo baharini au mitoni

"wanyama wote waishio baharini au mitoni wasio na mapezi na magamba"

watakuwa chukizo kwenu

Yahweh anawaamru watu kuwakataa na kudharau kuwal a viumbe hawa. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapsa mwawachukie hao" au "lazima mukatae kabisakabisa"