# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula # Mapezi pezi , ni sehemu iliyobapa ambayo samaki huitumia kuogelea majini. # Magamba Ni mabamba madogo madogo yanayoufunika mwili wa samaki. # viumbe wote hai wasio na mapezi na magamba waliomo baharini au mitoni "wanyama wote waishio baharini au mitoni wasio na mapezi na magamba" # watakuwa chukizo kwenu Yahweh anawaamru watu kuwakataa na kudharau kuwal a viumbe hawa. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapsa mwawachukie hao" au "lazima mukatae kabisakabisa"