sw_tn/lev/11/03.md

20 lines
588 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile anawachoruhusu watu kula na kile ambacho anawazuia kula.
# kwato zenye kugawanyika
Hii humaanisha kwamba kwato zilizogawanyika sehemu mbili badala ya kuwa wayo mmoja
# hucheua.
Hii humaanisha mnyama anayeleta chakula kinywani kutoka tumboni mwake na hukitafuna tena.
# aadhi ya wanyama ambao ama hawacheui au hana kwato zilizogawanyika
Yaani kwamba, wana moja au nyingine, lakini siyo yote mawili.
# ngamia ni najisi kwenu
Ngamia kuwa hafai kwa watu kumla amaezungumziwa kana kwmaba alikuwa mchafu kimaumbile.