sw_tn/lev/11/03.md

588 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile anawachoruhusu watu kula na kile ambacho anawazuia kula.

kwato zenye kugawanyika

Hii humaanisha kwamba kwato zilizogawanyika sehemu mbili badala ya kuwa wayo mmoja

hucheua.

Hii humaanisha mnyama anayeleta chakula kinywani kutoka tumboni mwake na hukitafuna tena.

aadhi ya wanyama ambao ama hawacheui au hana kwato zilizogawanyika

Yaani kwamba, wana moja au nyingine, lakini siyo yote mawili.

ngamia ni najisi kwenu

Ngamia kuwa hafai kwa watu kumla amaezungumziwa kana kwmaba alikuwa mchafu kimaumbile.