# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile anawachoruhusu watu kula na kile ambacho anawazuia kula. # kwato zenye kugawanyika Hii humaanisha kwamba kwato zilizogawanyika sehemu mbili badala ya kuwa wayo mmoja # hucheua. Hii humaanisha mnyama anayeleta chakula kinywani kutoka tumboni mwake na hukitafuna tena. # aadhi ya wanyama ambao ama hawacheui au hana kwato zilizogawanyika Yaani kwamba, wana moja au nyingine, lakini siyo yote mawili. # ngamia ni najisi kwenu Ngamia kuwa hafai kwa watu kumla amaezungumziwa kana kwmaba alikuwa mchafu kimaumbile.