sw_tn/lev/10/16.md

28 lines
775 B
Markdown

# ametekezwa kwa moto
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Kuhani alikuwa ameiteketeza yote"
# Eleazari and Ithamari
Yafasiri majina haya kama yalivyofasiriwa katika sura ya 10:5
# Kwa nini hamjaila ... mbele zake?
Musa anatumia swali kuwakemea Eleazari na Ithamari. swahili hili lenye ufsaha laweza kufasiriwa tamko. : "Iliwapasa kuwa mmeila...mbele zake."
# kwa kuwa ni takatifu sana
"kwa kuwa sadaka ya dhambi ni takatifu sana"
# kuchukua uovu wa kusanyiko
Ikimsababisha Yahweh kuwasamehe watu wa Israeli kunazungumziwa kana kwamba uovu ulikuwa kitu ambacho Yahweh hukichukua kutoka kwa watu.
# mbele zake
"katika uwepo wake"
# Tazama, damu yake haikuletwa ndani ya hema
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "hukuileta damu yake"