sw_tn/lev/10/16.md

775 B

ametekezwa kwa moto

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Kuhani alikuwa ameiteketeza yote"

Eleazari and Ithamari

Yafasiri majina haya kama yalivyofasiriwa katika sura ya 10:5

Kwa nini hamjaila ... mbele zake?

Musa anatumia swali kuwakemea Eleazari na Ithamari. swahili hili lenye ufsaha laweza kufasiriwa tamko. : "Iliwapasa kuwa mmeila...mbele zake."

kwa kuwa ni takatifu sana

"kwa kuwa sadaka ya dhambi ni takatifu sana"

kuchukua uovu wa kusanyiko

Ikimsababisha Yahweh kuwasamehe watu wa Israeli kunazungumziwa kana kwamba uovu ulikuwa kitu ambacho Yahweh hukichukua kutoka kwa watu.

mbele zake

"katika uwepo wake"

Tazama, damu yake haikuletwa ndani ya hema

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "hukuileta damu yake"