# ametekezwa kwa moto Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Kuhani alikuwa ameiteketeza yote" # Eleazari and Ithamari Yafasiri majina haya kama yalivyofasiriwa katika sura ya 10:5 # Kwa nini hamjaila ... mbele zake? Musa anatumia swali kuwakemea Eleazari na Ithamari. swahili hili lenye ufsaha laweza kufasiriwa tamko. : "Iliwapasa kuwa mmeila...mbele zake." # kwa kuwa ni takatifu sana "kwa kuwa sadaka ya dhambi ni takatifu sana" # kuchukua uovu wa kusanyiko Ikimsababisha Yahweh kuwasamehe watu wa Israeli kunazungumziwa kana kwamba uovu ulikuwa kitu ambacho Yahweh hukichukua kutoka kwa watu. # mbele zake "katika uwepo wake" # Tazama, damu yake haikuletwa ndani ya hema Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "hukuileta damu yake"