sw_tn/lev/10/08.md

28 lines
1.1 KiB
Markdown

# Hii itakuwa
"Hii" hapa hurejea nyuma kwenye amri kwa ajili ya makuhani ya kutokunywa mvinyo na kinywaji kikali waingiapo kwenye hema la kukutania.
# amri ya kudumu katika vizazi vyote vya watu wenu
Tazama maelezo ya sura ya 3:15.
# ili kupaambanua
Unaweza kuanza sentensi mpya hapa. "Yawapasa mfanye hivyo ili kwamba muweze kutofautisha"
# kati ya mambo matakatifu na mambo ya kawaida
Yale majina vumishi "mataktifu" na "ya kawaida" yaweza kutamkwa kama vivumishi. : "Kati ya kilicho kitakatifu na "cha kawaida" au "kati ya kilichowekwa wakufu kwa Mungu na kilicho cha kawaida
# kati ya kilichonajisi na kilichosafi
Yale majina vumishi "kilichonajisi|" na "kisichosafi" yaweza kutamkwa kama vivumishi. : "Kati ya kinajisi na kisafi" au "kati ya kile Mungu ambacho Mungu hatakikubali na kile ambacho atakikubali"
# Kilichonajisi
Mtu au kitu ambacho Yahweh amekitamka kuwa hakifai kuguswa yanazungumziwa kana kwamba yalikuwa kichafu kimaumbile.
# kilichosafi
Mtu au kitu ambacho Yahweh amekitamka kuwa hakifai kuguswa yanazungumziwa kana kwamba yalikuwa safi kimaumbile.