sw_tn/lev/10/08.md

1.1 KiB

Hii itakuwa

"Hii" hapa hurejea nyuma kwenye amri kwa ajili ya makuhani ya kutokunywa mvinyo na kinywaji kikali waingiapo kwenye hema la kukutania.

amri ya kudumu katika vizazi vyote vya watu wenu

Tazama maelezo ya sura ya 3:15.

ili kupaambanua

Unaweza kuanza sentensi mpya hapa. "Yawapasa mfanye hivyo ili kwamba muweze kutofautisha"

kati ya mambo matakatifu na mambo ya kawaida

Yale majina vumishi "mataktifu" na "ya kawaida" yaweza kutamkwa kama vivumishi. : "Kati ya kilicho kitakatifu na "cha kawaida" au "kati ya kilichowekwa wakufu kwa Mungu na kilicho cha kawaida

kati ya kilichonajisi na kilichosafi

Yale majina vumishi "kilichonajisi|" na "kisichosafi" yaweza kutamkwa kama vivumishi. : "Kati ya kinajisi na kisafi" au "kati ya kile Mungu ambacho Mungu hatakikubali na kile ambacho atakikubali"

Kilichonajisi

Mtu au kitu ambacho Yahweh amekitamka kuwa hakifai kuguswa yanazungumziwa kana kwamba yalikuwa kichafu kimaumbile.

kilichosafi

Mtu au kitu ambacho Yahweh amekitamka kuwa hakifai kuguswa yanazungumziwa kana kwamba yalikuwa safi kimaumbile.