# Hii itakuwa "Hii" hapa hurejea nyuma kwenye amri kwa ajili ya makuhani ya kutokunywa mvinyo na kinywaji kikali waingiapo kwenye hema la kukutania. # amri ya kudumu katika vizazi vyote vya watu wenu Tazama maelezo ya sura ya 3:15. # ili kupaambanua Unaweza kuanza sentensi mpya hapa. "Yawapasa mfanye hivyo ili kwamba muweze kutofautisha" # kati ya mambo matakatifu na mambo ya kawaida Yale majina vumishi "mataktifu" na "ya kawaida" yaweza kutamkwa kama vivumishi. : "Kati ya kilicho kitakatifu na "cha kawaida" au "kati ya kilichowekwa wakufu kwa Mungu na kilicho cha kawaida # kati ya kilichonajisi na kilichosafi Yale majina vumishi "kilichonajisi|" na "kisichosafi" yaweza kutamkwa kama vivumishi. : "Kati ya kinajisi na kisafi" au "kati ya kile Mungu ambacho Mungu hatakikubali na kile ambacho atakikubali" # Kilichonajisi Mtu au kitu ambacho Yahweh amekitamka kuwa hakifai kuguswa yanazungumziwa kana kwamba yalikuwa kichafu kimaumbile. # kilichosafi Mtu au kitu ambacho Yahweh amekitamka kuwa hakifai kuguswa yanazungumziwa kana kwamba yalikuwa safi kimaumbile.