sw_tn/lev/09/08.md

12 lines
304 B
Markdown

# wana wa Aroni wakamletea hiyo damu
Hii inaonyesha kwamba waliikinga damu kwenye bakuli wakati damu ilipokuwa ikichuruzika kutoka kwa mnyama. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa wazi wazi
# pembe za madhabahu
Tamza maelezo ya sura ya 4:6
# chini ya kitako cha madhabahu
"chini ya madhabahu"