# wana wa Aroni wakamletea hiyo damu Hii inaonyesha kwamba waliikinga damu kwenye bakuli wakati damu ilipokuwa ikichuruzika kutoka kwa mnyama. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa wazi wazi # pembe za madhabahu Tamza maelezo ya sura ya 4:6 # chini ya kitako cha madhabahu "chini ya madhabahu"