sw_tn/lev/09/08.md

304 B

wana wa Aroni wakamletea hiyo damu

Hii inaonyesha kwamba waliikinga damu kwenye bakuli wakati damu ilipokuwa ikichuruzika kutoka kwa mnyama. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa wazi wazi

pembe za madhabahu

Tamza maelezo ya sura ya 4:6

chini ya kitako cha madhabahu

"chini ya madhabahu"