sw_tn/lev/05/17.md

20 lines
736 B
Markdown

# ameagiza lisitendwe
Hii yaweza kutakwa katika mtindo tendaji. : ": "amewaamuru watu wasitende
# atachukua hatia yake mwenyewe
Ile hatia ya mtu imezungumziwa kana kwamba ni kitu kinachoonekana ambacho mtu hukibeba. Neno "hatia" hapa huwakilisha kwa hatia hiyo. : "naye anawajibika kwa hatia yake mwenyewe" au "Yahweh atamwadhibu yeye kwa dhambi zake"
# mwenye thamani ya fedha iliyopo
Hii humaanisha kuwa mtu huyo ni lazima aamue kwa kutumia kipimo rasimi cha kwenye hema takatifu ni kiasi gani cha shekeli huyo kondoo dume anastahili.
# naye atakuwa amesamehewa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh atamsamehe yeye"
# na kwa hakika amekuwa na hatia mbele za Yahweh."
"Hakika Yahweh ataiangalia hatia yake"