# ameagiza lisitendwe Hii yaweza kutakwa katika mtindo tendaji. : ": "amewaamuru watu wasitende # atachukua hatia yake mwenyewe Ile hatia ya mtu imezungumziwa kana kwamba ni kitu kinachoonekana ambacho mtu hukibeba. Neno "hatia" hapa huwakilisha kwa hatia hiyo. : "naye anawajibika kwa hatia yake mwenyewe" au "Yahweh atamwadhibu yeye kwa dhambi zake" # mwenye thamani ya fedha iliyopo Hii humaanisha kuwa mtu huyo ni lazima aamue kwa kutumia kipimo rasimi cha kwenye hema takatifu ni kiasi gani cha shekeli huyo kondoo dume anastahili. # naye atakuwa amesamehewa Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh atamsamehe yeye" # na kwa hakika amekuwa na hatia mbele za Yahweh." "Hakika Yahweh ataiangalia hatia yake"