sw_tn/lev/05/17.md

736 B

ameagiza lisitendwe

Hii yaweza kutakwa katika mtindo tendaji. : ": "amewaamuru watu wasitende

atachukua hatia yake mwenyewe

Ile hatia ya mtu imezungumziwa kana kwamba ni kitu kinachoonekana ambacho mtu hukibeba. Neno "hatia" hapa huwakilisha kwa hatia hiyo. : "naye anawajibika kwa hatia yake mwenyewe" au "Yahweh atamwadhibu yeye kwa dhambi zake"

mwenye thamani ya fedha iliyopo

Hii humaanisha kuwa mtu huyo ni lazima aamue kwa kutumia kipimo rasimi cha kwenye hema takatifu ni kiasi gani cha shekeli huyo kondoo dume anastahili.

naye atakuwa amesamehewa

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh atamsamehe yeye"

na kwa hakika amekuwa na hatia mbele za Yahweh."

"Hakika Yahweh ataiangalia hatia yake"