sw_tn/lev/04/31.md

24 lines
637 B
Markdown

# Naye atayakata
"Naye'" hapa humaanisha yule mtu anayetoa sadaka
# yanvyokatwa hayo mafuta
Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "ni kama tu vile mtu akatavyo hayo mafuta"
# ataiteketeza
"atayachoma mafuta"
# ili kuleta harufu ya kupendeza kwa Yahweh
Tazama maelezo yaliyotolewa kwenye sura 1:7 ili uone maneno hayo yalivyofafanuliwa
# Kuhani atafanya upatanisho kwa ajili ya mtu hyo
Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. "Kuhani atapatanisha kwa ajili ya dhambi za mtu huyo"
# naye atakuwa amesamehewa.
Hili laweza kutamkwa katika mtingo tendaji. : "Yahweh atazisamehe dhambi za mtu huyo"