# Naye atayakata "Naye'" hapa humaanisha yule mtu anayetoa sadaka # yanvyokatwa hayo mafuta Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "ni kama tu vile mtu akatavyo hayo mafuta" # ataiteketeza "atayachoma mafuta" # ili kuleta harufu ya kupendeza kwa Yahweh Tazama maelezo yaliyotolewa kwenye sura 1:7 ili uone maneno hayo yalivyofafanuliwa # Kuhani atafanya upatanisho kwa ajili ya mtu hyo Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. "Kuhani atapatanisha kwa ajili ya dhambi za mtu huyo" # naye atakuwa amesamehewa. Hili laweza kutamkwa katika mtingo tendaji. : "Yahweh atazisamehe dhambi za mtu huyo"