sw_tn/lev/04/31.md

637 B

Naye atayakata

"Naye'" hapa humaanisha yule mtu anayetoa sadaka

yanvyokatwa hayo mafuta

Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "ni kama tu vile mtu akatavyo hayo mafuta"

ataiteketeza

"atayachoma mafuta"

ili kuleta harufu ya kupendeza kwa Yahweh

Tazama maelezo yaliyotolewa kwenye sura 1:7 ili uone maneno hayo yalivyofafanuliwa

Kuhani atafanya upatanisho kwa ajili ya mtu hyo

Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. "Kuhani atapatanisha kwa ajili ya dhambi za mtu huyo"

naye atakuwa amesamehewa.

Hili laweza kutamkwa katika mtingo tendaji. : "Yahweh atazisamehe dhambi za mtu huyo"