sw_tn/lev/02/08.md

834 B

Taarifa kwa ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia musa kwamba watu hao na makuhani yawapasa wafanye hivyo ili sadaka zao ziweze kukubalika kwake

ililofanywa kwa vitu hivi

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "ulioutengeneza kutokana na unga na mafuta"

nayo itawasilishwa

Yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Utaiwasilisha"

Ndipo kuhani... ifanywayo kwa moto.

Kwa ajili ya2:9-10 tazama maelezo ya sura ya 2:1

sadaka ya kuwakilisha

Tazama maelezo ya sura ya 2:1

Itakuwa sadaka kuiliyofanywa kwa moto

Hii inaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Itakuwa sadaka ya kuiteketeza"

italeta harufu ya kupendeza kwa Yahweh

Tazama maelezo ya sura 1:7

kutoka kwenye sadaka ifanywayo kwa Yahweh kwa moto

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "kutoka kwenye sadaka ya kuiteketeza kwa Yahweh"