# Taarifa kwa ujumla Yahweh anaendelea kumwambia musa kwamba watu hao na makuhani yawapasa wafanye hivyo ili sadaka zao ziweze kukubalika kwake # ililofanywa kwa vitu hivi Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "ulioutengeneza kutokana na unga na mafuta" # nayo itawasilishwa Yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Utaiwasilisha" # Ndipo kuhani... ifanywayo kwa moto. Kwa ajili ya2:9-10 tazama maelezo ya sura ya 2:1 # sadaka ya kuwakilisha Tazama maelezo ya sura ya 2:1 # Itakuwa sadaka kuiliyofanywa kwa moto Hii inaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Itakuwa sadaka ya kuiteketeza" # italeta harufu ya kupendeza kwa Yahweh Tazama maelezo ya sura 1:7 # kutoka kwenye sadaka ifanywayo kwa Yahweh kwa moto Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "kutoka kwenye sadaka ya kuiteketeza kwa Yahweh"