sw_tn/lev/02/08.md

32 lines
834 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia musa kwamba watu hao na makuhani yawapasa wafanye hivyo ili sadaka zao ziweze kukubalika kwake
# ililofanywa kwa vitu hivi
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "ulioutengeneza kutokana na unga na mafuta"
# nayo itawasilishwa
Yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Utaiwasilisha"
# Ndipo kuhani... ifanywayo kwa moto.
Kwa ajili ya2:9-10 tazama maelezo ya sura ya 2:1
# sadaka ya kuwakilisha
Tazama maelezo ya sura ya 2:1
# Itakuwa sadaka kuiliyofanywa kwa moto
Hii inaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Itakuwa sadaka ya kuiteketeza"
# italeta harufu ya kupendeza kwa Yahweh
Tazama maelezo ya sura 1:7
# kutoka kwenye sadaka ifanywayo kwa Yahweh kwa moto
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "kutoka kwenye sadaka ya kuiteketeza kwa Yahweh"