sw_tn/jos/10/40.md

8 lines
307 B
Markdown

# Hakuna hata mfalme moja aliyebaki hai kati ya wafalme wake wote
virai hivi viwili vina maana sawa na vinatia mkazo juu uharibifu halisi ambao watu Israeli walikuwa wameagizwa naYahweh.
# Yoshua aliwaua kwa upanga
upanga unawakilisha jeshi la Israeli na kuwaua ina maanaya wazo la kuwaua na kuwaharibu.