# Hakuna hata mfalme moja aliyebaki hai kati ya wafalme wake wote virai hivi viwili vina maana sawa na vinatia mkazo juu uharibifu halisi ambao watu Israeli walikuwa wameagizwa naYahweh. # Yoshua aliwaua kwa upanga upanga unawakilisha jeshi la Israeli na kuwaua ina maanaya wazo la kuwaua na kuwaharibu.