sw_tn/jos/07/16.md

24 lines
569 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yoshua anafuata agizo la Yahweh la kuwaleta Waisraeli mbele za Yahweh.
# aliwaleta Israeli karibu
Maneno "kabila kwa kabila" lina maana ya kila kabila.
# Kabila la Yuda lilichaguliwa
Maneno haya yanaweza kuelezwa kawa muundo tendaji. "Yahweh alilichagua kabila la Yuda"
# Akausogeza karibu ukoo wa Zera mtu kwa mtu,
kirai "mtu kwa mtu" ina maana ya kila mtu. Watu katika sentensi hii walikuwa ni viongozi wa nyumba zao.
# ukoo wa Zera
Ukoo uliitwa kawa jina la mtu aliyeitwa Zera
# Zabdi...Akani...Karmi...Zera
Haya ni majina ya wanaume.