# Maelezo ya jumla Yoshua anafuata agizo la Yahweh la kuwaleta Waisraeli mbele za Yahweh. # aliwaleta Israeli karibu Maneno "kabila kwa kabila" lina maana ya kila kabila. # Kabila la Yuda lilichaguliwa Maneno haya yanaweza kuelezwa kawa muundo tendaji. "Yahweh alilichagua kabila la Yuda" # Akausogeza karibu ukoo wa Zera mtu kwa mtu, kirai "mtu kwa mtu" ina maana ya kila mtu. Watu katika sentensi hii walikuwa ni viongozi wa nyumba zao. # ukoo wa Zera Ukoo uliitwa kawa jina la mtu aliyeitwa Zera # Zabdi...Akani...Karmi...Zera Haya ni majina ya wanaume.