sw_tn/jos/05/13.md

12 lines
434 B
Markdown

# aliinua macho
Hapa, neno kuinua macho linazungumziwa kana kwamba Yoshua aliinua macho yake dhahiri katika mikono yake. Maneno haya yana maana ya "aliaangalia juu"
# tazama
Neno "tazama" linalotoa tahadhari kwetu ili tuweze kuzingatia kwa namna ya kipekee kwa maelezo mapya.
# alikuwa amechomoa upanga wake na ulikuwa mkononi mwake
Kiwakilishi 'a' na kimilikishi 'wake' yanmrejelea mtu yule aliyekuwa amesimama mbele ya Yoshua.