# aliinua macho Hapa, neno kuinua macho linazungumziwa kana kwamba Yoshua aliinua macho yake dhahiri katika mikono yake. Maneno haya yana maana ya "aliaangalia juu" # tazama Neno "tazama" linalotoa tahadhari kwetu ili tuweze kuzingatia kwa namna ya kipekee kwa maelezo mapya. # alikuwa amechomoa upanga wake na ulikuwa mkononi mwake Kiwakilishi 'a' na kimilikishi 'wake' yanmrejelea mtu yule aliyekuwa amesimama mbele ya Yoshua.