sw_tn/job/39/11.md

16 lines
335 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu
# waweza kumtumaini...uwanda wako wa kupuria
Yahweh anatumia maswali haya ili kutia mkazo kwamba Ayubu hawezi kuwatawala nyati.
# kumtumaini
Kiambishi 'm' kinamrejelea 'nyati"
# kumwachia kazi yako ili aifanye
"umwachie yeye aifanye kazi yako ngumu kwa ajili yako"