# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu # waweza kumtumaini...uwanda wako wa kupuria Yahweh anatumia maswali haya ili kutia mkazo kwamba Ayubu hawezi kuwatawala nyati. # kumtumaini Kiambishi 'm' kinamrejelea 'nyati" # kumwachia kazi yako ili aifanye "umwachie yeye aifanye kazi yako ngumu kwa ajili yako"