sw_tn/job/38/28.md

32 lines
720 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu.
# Je kuna baba wa mvua? Ni nani aliyeyafanya matone ya umande?
Yahweh anatumia maswa haya kukazia kwamba Ayubu hafahau jinsi Yahweh anavyoitengeneza mvua, umande, barafu, na theluji
# Je kuna baba wa mvua?
Yahweh anaiongelea mvua kana kwamba alikuwa ni mtu.
# aliyeyafanya
kazi ya baba katika kumfanya mtoto azaliwe
# matone ya umande
matone ya umande ambayo huunda mtonesho katika mmea na katika vitu vingine
# Na ni nani aliyeizaa theluji nyeupe
"ambaye ameizaa theluji nyeupe"
# Maji hujificha menyewe
katika kipindi cha masika barafu huficha maji chini yake.
# vilindi
Hii hurejelea maji ya kina kirefu kama vile maziwa, mito, na bahari