# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu. # Je kuna baba wa mvua? Ni nani aliyeyafanya matone ya umande? Yahweh anatumia maswa haya kukazia kwamba Ayubu hafahau jinsi Yahweh anavyoitengeneza mvua, umande, barafu, na theluji # Je kuna baba wa mvua? Yahweh anaiongelea mvua kana kwamba alikuwa ni mtu. # aliyeyafanya kazi ya baba katika kumfanya mtoto azaliwe # matone ya umande matone ya umande ambayo huunda mtonesho katika mmea na katika vitu vingine # Na ni nani aliyeizaa theluji nyeupe "ambaye ameizaa theluji nyeupe" # Maji hujificha menyewe katika kipindi cha masika barafu huficha maji chini yake. # vilindi Hii hurejelea maji ya kina kirefu kama vile maziwa, mito, na bahari