|
# Maelezo ya jumla
|
|
|
|
Elihu anaendelea kuongea na Ayubu
|
|
|
|
# nimeisikia sauti ya maneno yako yakisema
|
|
|
|
"Nimekusikia ukisema"
|
|
|
|
# 'Mimi ni safi na bila hila; sina hatia, na hakuna dhambi ndani yangu.
|
|
|
|
Maelezo yote haya yanamaanisha kitu kile kile. "Mimi sina hatia ya kosa lolote"
|