# Maelezo ya jumla Elihu anaendelea kuongea na Ayubu # nimeisikia sauti ya maneno yako yakisema "Nimekusikia ukisema" # 'Mimi ni safi na bila hila; sina hatia, na hakuna dhambi ndani yangu. Maelezo yote haya yanamaanisha kitu kile kile. "Mimi sina hatia ya kosa lolote"